WLive kwa kila Mwanamke katika uzinduzi wa Baileys

Published December 2, 2011 by wanawake1

WL kwa kila mwanamke ilianza kwa kushiriki shughuli tofautitofauti ili kukutana na wanawake wa aina mbalimbali, Joyce Kiria akiwa ktk hafla mbalimbali kwa ajili ya kuwakilisha WL…..

Siku ilipozinduliwa Baileys kinywaji kipya toka serengeti, mtangazaji wa WL alikuwepo kuwakilisha, kushoto ni Lethina ambae anashikilia taji la Kisura tz, host wa WL na rafiki wa Lethina…..

Deo wa Nivana nae alikuwepo kwenye uzinduzi wa Baileys, wanaume Live.. hahahahaaa

Star wetu wa filamu nae alitia timu na kupata picha ya pamoja na host wetu wa WL….

Mdau mkubwa sana wa WL nae alipata picha na mtangazaji wetu wa WL Joyce kiria….

Mwanamke urembo jamani, ebu ona walivyopendeza, unasubiri nini kupendeza mtoto wa kike? shaurilo…

wako mwaaaaaaaa, hot hot hot n sexyyyyyy, upo? hapo bado tupo Baileys ilikuwa ukumbi wa mlimani city…..

Maneno yanayoongelewa hapo ni “umependeza sana baada ya kujifungua Joyce, hongera sana kwa Harusi na Mtoto, tumemis sana kipindi chetu cha WL, nk) hao ni wadau wakubwa sana wa WL, na wamependeza sana….

Mtangazaji wa WL ktk picha ya pamoja na kipindi cha WL ndani ya mlimani city kwenye uzinduzi wa Baileys…..

Joyce Kiria na Barbra Hasan wa PB 

Kulia ndo The Big Boss wa kinywaji cha Baileys Afrika Mashariki , anafatia Marketing Brand Executive Serengeti Breweries Ltd, Azda Amani pamoja na host wa WL ……. Warembo wanawakajeeee

Waoooo. beautiful ladies jamani ndani ya uzinduzi wa Baileys, kushoto Salma Msangi, Mish B na Host wa WL…..

Hizo swaga!! ila mmependeza sanaaaaaaa…

Mshiiiiiiiiiiiiiiiii, mwanamke lipstik NYEKUNDUUUUUUUUUUU……..HOT HOT HOT, SEXYYYYYYY

WL kwa kila mwanamke, watangazaji nao wanawakilisha kwenye WL…….

Walifurahi kuonana na mama Linc Joyce Kiria, toka ajifungue walikuwa hawajaonana, so   mazungumzo kibao….ila usisahau ni ujio wa WL ambao tunasema ni kwa kila mwanamke….. FULL KUPENDEZA MTOTO WA KIKE, kujiweka rafu haihusu kabisaaaaaaaa

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: