Mwanaharakati Mary Rusimbi abadilimfumo wa sherehe za Kichen Party kuwa za jinsia zote ili kuleta maana ya haki sawa

Published December 7, 2011 by wanawake1

Joyce Kiria ktk shuguli ya mwanaharakati mwenye heshima kubwa duniani, mama  Mary Rusimbi , ktk harakati za mwanae wa kwanza Sosy kuoa ,hii ilikuwa ni gender party, ambapo aliwaalika wanaume na wanawake ktk, pia bi harusi mtarajiwa alikuwepo lengo likiwa ni kuwapa mawaidha wote wawili, kwa maana kwamba jukumu la ndoa ni la pande zote mbili tofauti kabisa na shughuli nyingi ambazo huegemea upande mmoja wa mwanamke huku mwanaume akiachwa aziifu yeye hatakiwi kutunza nzumba…hapa  no kichen paty, ni swala zima la usawa…..

Kulia ni Anti Rozela alieandaa shughuli hiyo, Mc wa shughuli, Joyce Kiria, Mdogo wake Rozela….

Mama Magreth Sita na Joyce Kiria WLive….

Wanawake Liiiiiiiiiiveeeeeee

Mwanaharakati wa ukweeee, Leila Shekh….

Mwanaharakati wa ukweeeee Majorline Mbilinyi……

Mama Mary Rusimbi mdau wa WLive, bonge la mwanaharakati, ndo mama wa mtoto wa kiume ktk shughuli hiyo, hapo anafanya fashen shoo….

Hapo fashen shoo imekolea kulia…

Vimwana wakifanya fashen show..kushoto Hadija Rozela, Mboni Masimba na Lulu Zena…

Kushoto Joyce Kiria, Maza, na Mrembo….

Hot lipstik, lipstik nyekunduuuuuuu……

Dudhelele time……..

Usawa ndo huo jamaniiiiii, mwenye mic ndo bwana harusi mtarajiwa bwana Sosy……

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: