Winnie Kalinga mwanamke shujaa alieingia kwenye TAKWIMU za vifo vya wajawazito na watoto

Published December 7, 2011 by wanawake1

Marehemu Winnie Kalinga ni miongoni mwa Wanawake mashujaa wanaopoteza maisha wakati wa kujifungua kila baada ya saa moja….alifariki wakati wa kujifungua! inasikitisha sana  miaka 50 ya uhuru wa Taifa la Tz vifo vya kinamama wajawazito na watoto ni vya kutisha….RIP lv Winnie

Wanawake Live tunaomba viongozi wawajibike na kufanya majukumu yao ili kutokomeza janga hili kubwa kuliko tunavyodhani….

Wanakikundi wenzake na marehemu Winnie Kalinga, kushoto Mammy Hawa na Arafa ……..

BRM ya mtandao wa FB kwenye mazishi ya member mwenzao ambae kwa sasa ni marehemu Winnie…. RIP mamy

Mamaz wakiwakilisha….

Mamaz walokuja kumsindikiza rafiki kipenzi Winnie…..

Marafiki wa mume wa Winnie akiwepo Mafuru,  ndo waliandaa taratibu zote za maziko… 

Advertisements

3 comments on “Winnie Kalinga mwanamke shujaa alieingia kwenye TAKWIMU za vifo vya wajawazito na watoto

 • R.I.P Winnie, tulikupenda ila Mungu Amekupenda zaidi,,Madaktari wito kwenu punguzeni uzembe..Joyce tunakukubali mwanaharakati wa ukweli katika mapinduzi ya wanawake.

 • jamani ndo hivyo hospitali zetu hazina madaktari, waliopo wamechoka, kwa kazi nyingi na wagonjwa wengi, malipo duni hawana ari ya kufanya kazi.
  mimi mwenyewe nilikosakosa kumpoteza mke wangu mpendwa kwa tatizo la PLACENTA PREVIA dactari aliitwa kuja kumzalisha akadelay kwa masaa4. nakumbuka siku hiyo nilipata ajali ya pikipiki nikiwa natafuta DAMU maana damu ilikuwa ikiingia inapitiliza. so mimi pia nimwathirika wa janga la vifo vya mama na mtoto kwani nilipoteza binti yangu mpenzi siku hiyo.

 • Winnie Kalinga tulikupenda saaana my luv lkn mungu alikupenda zaidi. Alyways we pray for u mama. BONGO REAL MAMAZ tunakumiss sana.

  R.I.P. WINNIE KALINGA.

 • Leave a Reply

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

  Google+ photo

  You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

  w

  Connecting to %s

  %d bloggers like this: