kilewo: Bilioni 64 zimetumika kusherekea sherehe ya kuwanyonya watanzania.

Published December 12, 2011 by wanawake1

Sioni uhalali wa kutumia sh 64 billion za kitanzania kwaajili ya kusherekea Miaka 50 ya uhuru, Huku tukiwa tunamatatizo chungu nzima yanayo likabili Taifa letu. Nilidhani fedha hizo zingepelekwa kwenye miradi mbalimbali zikiendana sambamba na maadhimisho hayo ya miaka 50 ya uhuru.

Ingekuwa ni kilelezo tosha kusherekea miaka 50 ya uhuru huku hospitali zetu zikiwa zina dawa zakutosha, Akina mama kuwa na usafiri mathubuti wakati wa kukimbizwa kwenye hospitali, Tungetumia kuondoa kero ya  kuwalipa babu zetu mafao yao ya miaka nenda rudi, walimu wetu wangepatiwa malimbikizo ya mishahara yao ili washerekee sherehe hizo wakiwa kwenye mtazamo mpya wa maisha ya furaha badala ya kuwekea serikali yao chuki kutokana na kukosa jasho lao la halali.

Advertisements

One comment on “kilewo: Bilioni 64 zimetumika kusherekea sherehe ya kuwanyonya watanzania.

 • uko sahihi kabisa. ni watu wachache wenye maslahi katika hili.
  viongozi walio katika nyadhifa husika wana mawazo finyu kabisa.

  ikiwa watanzania walio wengi tumegubikwa na matatizo kibao sioni sababu ya kusheherekea katika style inayotugandamiza zaidi.

  Hii ni sawa na kuandaa sherehe kubwa ya wedding anniversary wakati watoto hawana hata viatu vya shule its total nonsense.

  Inatubidi kuwa wabunifu na si kutafuta sifa na umaarufu wakati watu tunakufa na njaa .

 • Leave a Reply

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

  Google+ photo

  You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

  w

  Connecting to %s

  %d bloggers like this: