Mjue Boyfriend wa Hadija Mwanamboka and did you know she has ten kids?

Published December 13, 2011 by wanawake1

Wanawake live kama kawaida leo ipo tena hewani, Mwanamapinduzi Joyce Kiria anaendeleza libeneke upande huo.

Mwanamapinduzi Super Woman Joyce Kiria.

 Mada kuu katika show ni transparent life kwa wapenzi. Pata kusikia mengi yaliyoongelewa kuhusu hilo. 

Mambo mengi yameongelewa katika kipindi mengi mno, likiwepo kuhusu boyfriend wa Hadija Mwanamboka.

Hadija Mwanamboka ndani ya Wanawake Live

Wakili Maria Mang’enya akiwakilisha ndani ya Wanawake Live

Mjasiriamali wa ukweli Eva Mushi nae akiwakilisha ndani ya Wanawake Live.

Mjasiriamali  Mzungu Bi Hellen, huyu mama kaongea mengi ambayo kweli wengi wenza tunafanyiana, usikose kutazama Wanawake Live umsikie mwenyewe.

Kipindi cha Wanawake Live kilinoga haswa na katika kuonyesha hilo vicheko vya hapa na pale havikukosekana.

Super Woman Joyce Kiria Akisisitiza jambo wakati wa show, kwa undani zaidi leo usikose kutazama Wanawake Live show saa tatu kamili usiku eatv.

 

Advertisements

5 comments on “Mjue Boyfriend wa Hadija Mwanamboka and did you know she has ten kids?

 • My comment goes to sis khadija,,,,hongera mamy kwa kuwa na moyo mzuri wa kulea hao watoto yatima Mungu akuzidishie uweze kulea zaidi na zaidi sio wote wenye uwezo wenye moyo mzuri kama wako………..cograts sis joyce kipindi kilikuwa kizuri sana kwakweli tumejifunza mengi keep it on luv!

 • Nafurahishwa sana na kipindi cha wanawake live. Naomba kieendelee kutusaidia wanawake wote na kisiwe kwa manufaa ya mtu binafsi. Keep it up Joyce my wajina.Napenda sana wanawake nafurahi sana kuona mwanamke anakuwa na furaha pia anasonga mbele kimaeendeleo bila ya wasiwasi.Nakutakia heri ya mwaka mpya 2012

 • Leave a Reply

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

  Google+ photo

  You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

  w

  Connecting to %s

  %d bloggers like this: