Kylin, Irene, Nargis na Hawa wamefungukajeeee kwenye Wanawake Live Leo

Published December 20, 2011 by wanawake1

Super Woman Joyce Kiria akifanya vitu vyake kwenye show ya Wanawake Live

Aliyewahi kuwa Miss Tz na mrembo asiyezeeka Jacklin Ntuyabaliwe a.k.a Kylinn akijiachia kwenye bonge la show ya Wanawake Live….. Leo saa tatu usiku

Kutoka Bongo Real Mamaz a.k.a BRM Mamaa  Irene nae akiwakilisha vyema kabisa

Miss Tz no 3 enzi za Slivia Bahame, mamaa Nargis a.k.a Pam ndani ya Wanawake Live

Watu weweeeeeeeee, cheko lako tu mama Whiteley, umependezajeee, muite Hawa nae yupo kwenye Wanawake Live

Mazungumzo yamenoga sana hapo, usipitwe kuangalia Wanawake Live

Kylinn na Irene ndani ya Wanawake Live wakitupa dondoo za urembo(kuzaa si kuzeeka)

Nargis na Hawa wakitupatia tips za namna unavyoweza kuwa mama na ukarudi kuwa msichana mrembo.( kujisahau na kuacha rafu , uchafu, haihusu kabisa)

Mwongozaji wa kipindi cha Wanawake Live Joyce Kiria akiwatupia maswali yake!!

Wanawake Live siyo ya kukosa, ni kila j4 saa tatu usiku EATV…

Advertisements

4 comments on “Kylin, Irene, Nargis na Hawa wamefungukajeeee kwenye Wanawake Live Leo

 • Hongereni wanawake kwa maendeleo siku zote mwanamke ni wa kwanza,Kylinn nampenda sasa sijui anatumia vyakula gani mpaka anaonekana kama binti siku zoke,
  Mungu awabariki wanawake woooooooote

 • Dear Joyce Hongera sana,

  Tafadhali nijuze, niliangalia kipindi cha mwisho mkiwa na warembo nagsi, lakini nilimiss ile issue ya mwanamke kupungua na kukeep figure yako bila kuongezeka……..Umeme ulikatika sikuweza kufollow-up. Please if you can give me a brief. Thanks

 • Leave a Reply

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

  Google+ photo

  You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

  w

  Connecting to %s

  %d bloggers like this: