HAPPY BIRTHDAY SUPER WOMAN JOYCE KIRIA

Published December 25, 2011 by wanawake1

Kila tarehe 26 December, Unakuwa unakumbuka siku yako maalum ya kuzaliwa.

Hii ni Special Day ikiwa inaenda sambamba na Boxing Day.

Wewe ni mmojawapo ya wanawake wapambanaji katika harakati za kumkomboa mwanamke.

Super Woman Joyce Kiria.

Wishing You So many Years ahead mamii ili uendeleze mapambano katika kumkomboa Mwanamke.

Happy B.Day mamii a.k.aMama Lincon a.k.a Mrs Henry Kilewo

Ukitoka Moshi keki inakusubiri huku.

Says ya’  Producer Wanawake Live Hellen Baja.

Advertisements

4 comments on “HAPPY BIRTHDAY SUPER WOMAN JOYCE KIRIA

 • Asante sana Helen, kikubwa zaidi leo nahitimisha baada ya kuanza my mam Tharisila Mboro tar 24 Dec, Marehem Baba yangu. Emmanuel akafanta 25 Dec na Leo 26 Dec mie kichanga chao nahitimisha…. Thank u so Much

 • Leave a Reply

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

  Google+ photo

  You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

  w

  Connecting to %s

  %d bloggers like this: