Hawajavaa Chupi, Sidiria, Pedi, Nguo, yaani wako uchi! Wanaomba msaada wako

Published January 8, 2012 by wanawake1

 

Hawa wakina mama na wakina dada wanaitaji msaada wetu wa mavazi hasa nguo za ndani ,

Tuungane pamoja kuwasitiri kinamama na kina dada wenzentu, hapo walipo 

hata wakienda hedhi hawana pedi wala chupi, wala kanga ya kuchana afunge kama nepi…

Misaada mingi iliyopelekwa ni chakula na malazi (magodoro) sasa sisi wanawake tusitiriane jama….

Watoto nao halikadhalika hawana nguo wako uchiiii huyu ni mmoja kati ya wengi mnooo, tugawane nao

hizi za watoto wetu na zile ambazo zishawavuka watoto wetu yaani haziwatoshi tena tuzikusanye 

tuwapelekee Mungu atakubariki ndugu, SHIMESHIME CHONDECHONDE….

nitazifata ulipo kwa hapa Dar kama upo nje ya Dar   tutaangalia namna ya 

kuzipata ili tuwafikishie wahusika….no yangu ni +255 783 137 777

Advertisements

One comment on “Hawajavaa Chupi, Sidiria, Pedi, Nguo, yaani wako uchi! Wanaomba msaada wako

 • Nakipenda xana kipindi chako nawe pia nakupenda xana super woman.je ni kwel wewe umeishia darasa la saba nambie ukwel dada yangu?je umejifungua mtoto gan?naipenda xana kaz yako,mungu akubariki uwe na moyo huo huo wa huruma,

 • Leave a Reply

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

  Google+ photo

  You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

  w

  Connecting to %s

  %d bloggers like this: