Shamim Arifu wa kinondoni Mahakamani tunashukuru sana kwa msaada wako

Published January 10, 2012 by wanawake1

Dada Shamim Arifu, Ubarikiwe sana kwa hatua uliyoichukua ya kupunguza kabati lako la nguo na kuwapa wanawake wenzetu wanaosota pamoja na hali zao na watoto wao

Advertisements

One comment on “Shamim Arifu wa kinondoni Mahakamani tunashukuru sana kwa msaada wako

 • Nashukuru sana dada Joyce kwa ushirikiano wako nawe mwenyezi mungu akuzidishie kila la kheri kwa jitihada zako za kumkomboa mwanamke,nami ninawahamasisha wanawake wenzangu kwa ajili ya kuwasitiri wenzetu waliopata maafa,mwenyezi mungu ataleta wepesi nao wataondokewa na matatizo hayo inshaallah.

  kazi njema.

 • Leave a Reply

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

  Google+ photo

  You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

  w

  Connecting to %s

  %d bloggers like this: