About

Advertisements

3 comments on “About

 • wanawake ndio kilakitu ktk maisha yetu ya kila siku kwahiyo ni lazima tusaidiane kuelimishana kuhusu usawa na haki za wanawake hasa walioko vijijini wasiojua haki zao.pia wanawake wasijisahau waka amini kuwa wanachokipigania ni mashindano ya nani zaidi kati ya mwanamke na mwanaume na kusahau kuwa inshu ya msingi ni kuweka uelewa,kujiamini,na uwezo wa kuweza kupigania mahitaji yao ya msingi,ambayo hayo yakifanyika ni lazima wanaume wata waheshimu na sio malumbano nani zaidi.

 • dada joyce yani nimekupenda na nitazidi kukupenda mungu akubariki sana kwa kujitolea kwako kutuelimisha wanawake.
  mimi ni mama mwenye watoto 2. ki ukweli nimefarijika sana sana mimi napenda maendeleo ila nakwamishwa na mume wangu naona mfumo dume unamtawala sana mana hapendi nipate pesa anasema eti mwanamke akiwa na pesa huwa hawaeshimu waume zao hebu fikiria ni wa aina gani huyu kwa dunia yetu ya leo? nikifuga kuku wakifikia kuuzwa lets say bado siku kadhaa kuuza yeye analeta wauzaji me nipo kazini anawauza pesa anakaa nayo yeye anachofanyia sijui au anauza rejareja me sipewi pesa lakini kwenye kulisha hana habari nimekuwa kila siku naanza na mtaji mpya. nilifungua duka la nguo za kike naenda k/koo nachukua nguo nauza nimekodi fremu yeye anaenda anamfokea dada ampe pesa ananywea pombe ndani hajui ada ya mtoto sh. ngapi wala maziwa ya mtoto shilingi ngapi kifupi ni kwamba hana anachotoa kila kitu ananiachia mimi na akirudi akikuta maharage na ugali natukanajwe dada yangu. naomba nisaidie nijikomboe vipi mimi nafanya kazi serikalini kama personal secretary mshahara mdogo nachanganyikiwa mpk muda mwingine nadhalilika kwa wanaume mwingine unamwomba akuazime pesa utamrejeshea anakujibu mpaka nimpe penzi yani mume wangu hajui kuwa ananiwekea mazingira hatarishi. pia mkifanya semina nyingine nitapenda nishiriki hii sikujua ndio nimeiona leo kwenye blog kuwa ilikuwepo. kama utaisoma kwenye kipindi usisome jina msala.

 • joice kiria, ivi kwa hao wanawake wanapokuja katika ofice yako wanaficha kusema siri ya maisha ya mafanikio yao?wanawake wengne watajuaje kustruggle katika maisha? Mfano kyline alificha kusema

 • Leave a Reply

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

  Google+ photo

  You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

  w

  Connecting to %s

  %d bloggers like this: