WANAWAKE LIVE TUTAKUKUMBUKA DAIMA MAREHEMU REGIA MTEMA.

Published January 17, 2012 by wanawake1

Marehemu Mh. Regia Mtema, sisi wanawake Live tutakukumbuka daima, ulitusupport kwa hali na mali pale tulipokuhitaji,hakika Taifa limepoteza Mwanamke mpambanaji hususani Wanawake na watu wenye ulemavu. Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi.Ameen

Super Woman Joyce Kiria akisisistiza jambo ndani ya wanawake live show 

From left Mboni Masimba a.k.a Kim K wa Bongo, Hilda Mallomo, Janeth Sinda and Super Woman mwenyewe Joyce Kiria ndani ya Wanawake Live.

Kim Kardashian wa Bongo, Akifunguka bila kificho ndani ya show.

Mjasiriamali ndani ya show.

Tabasamu muhimu mjasiriamali akijiachia kwa raha zake.kucheka kunaongeza siku za kuishi.

Super Duper Woman Joyce kiria akisisitiza jambo ndani ya show.

Warembo wakiwa wanasikiliza kwa umakini ndani ya wanawake live.

Jambo likieleweka pozi kama hizi ni kawaida kuja automatically.

Janeth sinda akisisitiza jambo huku Hilda akimsikiliza kwa umakini.

Vicheko ni kawaida ndani ya show ya Wanawake live,unataka kujua why they lough? dont miss out leo usiku.

Umakini ni muhimu pale maongezi yanapokolea so watch out leo usiku.

Usikose kutazama show leo saa tatu kamili usiku ndani ya EATV.

9 comments on “WANAWAKE LIVE TUTAKUKUMBUKA DAIMA MAREHEMU REGIA MTEMA.

  • Dada Joyce kwa kweli wewe ni mwanamke wa pekee hongera sana dada yangu for sure i ril admire you and i promise nitafuata njia yako nitafanikiwa licha ya kuwa sina hata sent lakini nakuambia umenionyesha njia kama mwenye macho anavyomwongoza kipofu.
    Stay blessed THE SUPER DUPER WOMAN kioo cha wanawake.
    Hongera sana na tuko pamoja!

  • Hakika tumepoteza mwanamke wa ukwel.Mungu ailaze roho yake mahal pema peponi. Amen! “Roho za waumini marehemu wapate rehema kwa Mungu wapumzike kwa aman na bwana wajalie pumzko la milele!”

  • joyce kipindi chako ni kizuri sana, ila sasa hao wageni wengine wanaokuja mwe, kama mboni masimba aliua sana na kiinglish chake MY FRIEND OF MINE uwiii niliishia kucheka na kuguna, tu, angeongea kiswahili ingekuwaje kwani? nakumbuka yale ya maigizo ya bongo ya kaka mtunisi TO BE HONEST GO HOME, sehemu ambayo haikutakiwa kuwepo mwe, haya kila la kheri mamito

  • Leave a reply to Faith Cancel reply