Archives

All posts for the month December, 2011

Mwanaharakati Mary Rusimbi abadilimfumo wa sherehe za Kichen Party kuwa za jinsia zote ili kuleta maana ya haki sawa

Published December 7, 2011 by wanawake1

Joyce Kiria ktk shuguli ya mwanaharakati mwenye heshima kubwa duniani, mama  Mary Rusimbi , ktk harakati za mwanae wa kwanza Sosy kuoa ,hii ilikuwa ni gender party, ambapo aliwaalika wanaume na wanawake ktk, pia bi harusi mtarajiwa alikuwepo lengo likiwa ni kuwapa mawaidha wote wawili, kwa maana kwamba jukumu la ndoa ni la pande zote mbili tofauti kabisa na shughuli nyingi ambazo huegemea upande mmoja wa mwanamke huku mwanaume akiachwa aziifu yeye hatakiwi kutunza nzumba…hapa  no kichen paty, ni swala zima la usawa…..

Kulia ni Anti Rozela alieandaa shughuli hiyo, Mc wa shughuli, Joyce Kiria, Mdogo wake Rozela….

Mama Magreth Sita na Joyce Kiria WLive….

Wanawake Liiiiiiiiiiveeeeeee

Mwanaharakati wa ukweeee, Leila Shekh….

Mwanaharakati wa ukweeeee Majorline Mbilinyi……

Mama Mary Rusimbi mdau wa WLive, bonge la mwanaharakati, ndo mama wa mtoto wa kiume ktk shughuli hiyo, hapo anafanya fashen shoo….

Hapo fashen shoo imekolea kulia…

Vimwana wakifanya fashen show..kushoto Hadija Rozela, Mboni Masimba na Lulu Zena…

Kushoto Joyce Kiria, Maza, na Mrembo….

Hot lipstik, lipstik nyekunduuuuuuu……

Dudhelele time……..

Usawa ndo huo jamaniiiiii, mwenye mic ndo bwana harusi mtarajiwa bwana Sosy……

WLive miaka 50 ya uhuru na mwanamke wa Tz

Published December 6, 2011 by wanawake1

Super woman Joyce Kiria ndani ya WLive 

Janeth Mbene akiwa kwenye WLive mada ni miaka 50 ya uhuru na mwanamke wa Tz….

Kushoto Jacklin Walper na Violet Mzindakaya ….

Janeth Mbene na Maimatha Jese…

Anaitwa Manka anafanya biashara ya mboga mboga, kilio chake ni maji jamani, anasema akiwa na maji anafanya biashara kwa siku anapata 40,000/= lkn akiwa hana maji anauza 10,000/=  mboga zinasinyaa haziuziki (miaka 50 ya uhuru wa Tz)

WLive msimu wa pili ya take off rasmi, baada ya Joyce Kiria kumaliza likizo ya uzazi

Published December 6, 2011 by wanawake1

Mwonekano wa msimu wa pili, super woman akifanya vitu vyake….

Mdau wa WLive Madam Ritha akitoa sapot kwenye kipindi cha kwanza cha msimu wa pili….

Executive Director Dk Marina Njelekela nae pia ni mdau mkubwa wa WLive, alikuwepo kwenye show ya kwanza ya WLive msimu mpya….

Mmiliki wa duka kubwa lijulikanalo kwa Amina Design, Mrs Plummer au Amina Plummer ndani ya WLive Msimu mpya kipindi cha kwanza…..

Mama Linc na Lincon kwenye show ya kwanza ya msimu mpya wa WLive……

Kushoto ni Dk Marina Njelekela, Shamim Mwasha, Nasra Naji na Amina Design, wakiunga mkono msimu wa WLive….

WLive kutoa saport kwa wanamichezo wa ngumi

Published December 5, 2011 by wanawake1

Wema na Mume wake Kaseba ktkt ni WLive anawakilishaaaaa, hata huko pia 

Jamani hawa Dadaz wanacheza mchezo wa kuharibiana sura (ngumi) afrika mashariki….kushoto ni pendo tz na mwenzake mkenya….

Kushoto ni 7 na kulia ni Shigongo, WL anawakilisha kama kawa…..

Hatimae pambano likaanza, Hapo ndipo wanawakelive ilienda kusapot, hao ni wanawake, ndala ndefu na mwenzie…..

Watu weweeeeeeeeeeee

Mshindi ndo huyo mluguru, kamgaragaza mzaramo hatari…..

WLive akiwa na my hubby wake kulia….

 

 

Divas wa twn

Published December 5, 2011 by wanawake1

Joyce Kiria ktkt ya madivaz wa twn… ktk unaowajuwa hawa nao wamo sana tuuuu…. ladies mmependeza sanaaaa

Wamependeza mnoooo

Wanawake Live na Hadija Mwanamboka….

Wamependezaeh???

Dina wa ukweli wakihagiana na mama wa WLive….

Kitu kizuri sana kuhusu our brand Joyce K, huwa hasahau historia yake, anawashukuru sana hawa Ladies Dina na Sophia kwa saport yao kwake wakati anaanza kuingia kwenye Media….. we hope pia wao wanajivunia matunda ya dada huyu coz now she is some1 else….

Hawa ni mapacha, wanafanana eh???

Azda Amani na WL  Joyce Kiria….

WL na The big Boss wa Vodacom Foundation….Mwanzilishi wa mradi wa MWEI, kukopesha wajasiriamali bila riba, Madame Mwamvita Makamba…..

Waooooooooo

Mboni Masimba na WL….

Shamim 8020 fashions kushoto na Loutas Nivarna kulia…..

Rehema Maso mtaalamu wa urembo na nywele…..

 

 

 

 

 

Kitendo cha kukutana na mtu alafu akapenda kupiga picha unakichukuliaje???

Published December 5, 2011 by wanawake1

Familia hii ilipenda sana kupiga picha na mwandaaji wa Wanawake Live, wamependezaje? shukrani kwa familia hii kwa kusapot our Brand Joyce Kiria…..

Hapa  alipiga na Mama na Watoto wao wawili…wamependeza sana, asante sana kwa kutusapot WLive….

Hapa alipiga na mtoto wao wa mwisho, he is cute kwa kweli…

Tunachojivunia kwa Brand wetu on WLive Joyce Kiria, hana majivuno, kiasi hata kufanya nae kazi ni very simpo….

Hii picha alipiga huyo mtoto hapo juu ukiacha aliyebebwa huyo mwenye orange tshat….ni mtoto mtundu anaependa kujua vitu, so unaionaje picha? amewakata vichwa lkn kapatia ryt???…..

Kaa na watu Uvae Viatu

Published December 2, 2011 by wanawake1

 Mustafa Hasanal akiwa na mtangazaji wa WL katika moja ya hafla za hivi karibuni….. wanaume live

Dadaz pamoja na Host wa WL nda ya suhuli ya hivi karibuni….WLive sasaivi ni kwa kila mwanamkeeeee

Kulia ni familia ya Eatv na Mtu wake kwenye picha ya pamoja na mtangazaji na mwanaharakati wa WL….

 

Mzee wa Dala Dala, Dany Kijo akiwa na Host wa WL…..

Wadau wakubwa wa WLive wakishoo love na host wa WL……

Wanaumelive nao vp?????

Shabiki mkubwa mnooo wa WL……

Al Shabaab nae ni mdau mkubwa wa ki

WLive kwa kila Mwanamke katika uzinduzi wa Baileys

Published December 2, 2011 by wanawake1

WL kwa kila mwanamke ilianza kwa kushiriki shughuli tofautitofauti ili kukutana na wanawake wa aina mbalimbali, Joyce Kiria akiwa ktk hafla mbalimbali kwa ajili ya kuwakilisha WL…..

Siku ilipozinduliwa Baileys kinywaji kipya toka serengeti, mtangazaji wa WL alikuwepo kuwakilisha, kushoto ni Lethina ambae anashikilia taji la Kisura tz, host wa WL na rafiki wa Lethina…..

Deo wa Nivana nae alikuwepo kwenye uzinduzi wa Baileys, wanaume Live.. hahahahaaa

Star wetu wa filamu nae alitia timu na kupata picha ya pamoja na host wetu wa WL….

Mdau mkubwa sana wa WL nae alipata picha na mtangazaji wetu wa WL Joyce kiria….

Mwanamke urembo jamani, ebu ona walivyopendeza, unasubiri nini kupendeza mtoto wa kike? shaurilo…

wako mwaaaaaaaa, hot hot hot n sexyyyyyy, upo? hapo bado tupo Baileys ilikuwa ukumbi wa mlimani city…..

Maneno yanayoongelewa hapo ni “umependeza sana baada ya kujifungua Joyce, hongera sana kwa Harusi na Mtoto, tumemis sana kipindi chetu cha WL, nk) hao ni wadau wakubwa sana wa WL, na wamependeza sana….

Mtangazaji wa WL ktk picha ya pamoja na kipindi cha WL ndani ya mlimani city kwenye uzinduzi wa Baileys…..

Joyce Kiria na Barbra Hasan wa PB 

Kulia ndo The Big Boss wa kinywaji cha Baileys Afrika Mashariki , anafatia Marketing Brand Executive Serengeti Breweries Ltd, Azda Amani pamoja na host wa WL ……. Warembo wanawakajeeee

Waoooo. beautiful ladies jamani ndani ya uzinduzi wa Baileys, kushoto Salma Msangi, Mish B na Host wa WL…..

Hizo swaga!! ila mmependeza sanaaaaaaa…

Mshiiiiiiiiiiiiiiiii, mwanamke lipstik NYEKUNDUUUUUUUUUUU……..HOT HOT HOT, SEXYYYYYYY

WL kwa kila mwanamke, watangazaji nao wanawakilisha kwenye WL…….

Walifurahi kuonana na mama Linc Joyce Kiria, toka ajifungue walikuwa hawajaonana, so   mazungumzo kibao….ila usisahau ni ujio wa WL ambao tunasema ni kwa kila mwanamke….. FULL KUPENDEZA MTOTO WA KIKE, kujiweka rafu haihusu kabisaaaaaaaa